Gameweek 19 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

Gameweek 19 Preview | FPL Tanzania | Fantasy Premier League Swahili Tips 2021/22

FPLTZ Podcast
Dec 22, 202132:00
Play Episode

Episode Notes

Support Us:

https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania

Kwenye podcast hii tunaongelea preview ya gameweek 19. Tutafanya uchambuzi kuhusu team za kutarget, assets ambazo tunategemea zifanye vizuri na pia jinsi ya kutake advantage na chaos ya mechi kuhairisha n.k.

0:00 Intro

02:01 Eric Team Review 📊

05:50 Mkali Team Review 📊

09:18 Teams to target Leeds and Newcastle

12:57 Arsenal Assets

17:43 Chaos

21:06 Son vs CR7

24:24 Under The Radar! 🔎

28:17 Captain Pick 🧢

About Us:

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kucheza game hii) ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

Follow our accounts on:

https://twitter.com/fpltanzania

https://twitter.com/mkali_1

https://twitter.com/ericbaisi

Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78