FPL Season Review so far | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22

FPL Season Review so far | FPL Tanzania | Swahili Tips 2021/22

FPLTZ Podcast
Jan 9, 202233:00
Play Episode

Episode Notes

Katika episode hii Eric na Mkali wanareflect msimu unavoenda mpaka sasa. Jinsi timu zao zilivyoperform, majibu ya maswali kuhusu strategies zao going forward na pia interesting discussion jinsi gani FPLTZ Podcast na FPL Tanzania kwa ujumla imeathiri jinsi wanavoutuzama mchezo wa FPL.

About Us:

FPLTZ Podcast ni podcast ya kwanza ya kiswahili kutoka #FPLTANZANIA kwa ajili ya fantasy premier league inayokuwa hosted na Godfrey Shirima na Eric Baisi (wenye miaka zaidi ya 20 combined kwenye kumanage FPL teams). New episode ina drop kila sehemu unapoweza kusikiliza podcast kila Jumatano!

Support Us:

https://www.buymeacoffee.com/FPLTanzania

Follow our accounts on:

https://twitter.com/fpltanzania

https://twitter.com/mkali_1

https://twitter.com/ericbaisi

Code ya “FPL TANZANIA” mini league ni alsp78